Home All NEWS: SHUHUDIA BASI LILIVYOSOMBWA NA MAJI SERENGETI -VIDEO

NEWS: SHUHUDIA BASI LILIVYOSOMBWA NA MAJI SERENGETI -VIDEO

308
0
SHARE

WATU wanne wanadaiwa kupotea baada ya basi la Kampuni ya Kimotco walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji ya mto huko Serengeti kufuatia mafuriko ya mvua kubwa zilizonyesha eneo hilo na kuharibu miuondombinu ya barabara.

Basi hilo lililokua likitoka Musoma mkoani Mara kuelekea Arusha likipitia Mugumu linadaiwa  kusombwa wakati likipita katika daraja linalodaiwa kuwa na kingo fupi.

Inaelezwa mto huo upo ndani ya hifadhi ya Serengeti na una wanayama aina ya viboko wengi.

Loading...