Usiku wa kuamkia leo msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz alifanya uzinduzi wa albamu yake mpya ‘A Boy From Tandale’ Nairobi nchini Kenya.
Katika uzinduzi huo Diamond alimwalika Omario kutoka nchini Marekani na waliweza kuimba pamoja ngoma ‘African Beauty’. Pia wasanii wa WCB kama Harmonize, Rich Mavoko, Lava Lava, Mbosso na Queen Darleen walikuwepo.