DOWNLOAD

PAKUA

Wimbo wa Maombolezo kuhusiana na ajali ya Mlipuko wa moto uliotokea baada ya kudondoka kwa gari la mafuta maeneo ya Msamvu, Morogoro na kusababisha vifo vya raia wengi. Tunaungana na watanzania wote kuomboleza na kuwaombea majeruhi kupona kwa haraka. Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe.

Wimbo umeimbwa na ROY huku ukitayarishwa na Prod Steve Maker | Stopper Record

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here