Image result for ACCOUNTS ASSISTANT

MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) .. – 24 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2018-01-29
Application Deadline: 2018-02-11

JOB SUMMARY:

N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i.    Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za uhasibu;
ii.    Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha;
iii.    Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu;
iv.    Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki; na
v.    Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, Hesabu za Benki na Amana.

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

•    Kuajiriwa wenye Cheti cha ATEC level II au “Foundation Level” kinachotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA).

REMUNERATION: Salary Scale TGS. B